Pionaire
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 1,595
- 1,135
Goals against barca test extra when Pique is involved.
![]()
Nilishawahi kuwaambia Barca fanboys kuwa Pique sio beki isipokuwa alikuwa analindwa asipatwe na mashambulizi kutokana na ule mfumo Wa barca kumiliki Mpira kupitia viungo wao...Sasa viungo wao wamekwisha ndo linajidhihirisha.