nguluviyihuvye
Senior Member
- Oct 13, 2011
- 173
- 213
Sent using Jamii Forums mobile app
Watakufa hivyo hivyo maana naona njama zao kubwa na kocha naye wanataka wamfungie.![]()
The Spanish Football Federation (RFEF) has turned down Real Madrid’s appeal against Ronaldo's 5-match ban, meaning the striker will still miss the second leg of the Spanish Super cup and 4 La Liga games in the opening stage of the season.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo njama zao wanazotufanyia kamwe hazitofanikiwa,maana marefa wamekuwa wakitunyonga sana Madrid,lakini watakaa tyu leo hao wazee wa catalonia. # Hala Madrid![]()
The Spanish Football Federation (RFEF) has turned down Real Madrid’s appeal against Ronaldo's 5-match ban, meaning the striker will still miss the second leg of the Spanish Super cup and 4 La Liga games in the opening stage of the season.
Sent using Jamii Forums mobile app
Real Madrid!Fainals: Barcelona vs Real madrid
2011 Copa Del Rey Real madrid Win
2011 Super Cup Barcelona Win
2012 Super Cup Real madrid Win
2014 Copa Del Rey Real madrid Win
2017 Super Cup Barcelona or Real madrid???
Watu wametulia tu tuambiwegame inaonyeshwa channel gani kwa startimes na azam tv?
Ninapenda Zizou anavyowaamini vijana wake, na hii inawajenga sana, hope tutashuhudia game ya kiwango cha hali ya juu!!
Sidhani zaidi ya Super sport kuna decoder nyingine itarusha huu mtanange kwa hapa Bongo
Kovacic anaupiga mwingi sana kwa kweli, anaweza akatembea na kijiji. Uwezo wake umempa nafasi nyingine tena Leo, japokuwa Leo anacheza chini kidogo na ilivyokuwa game iliyopita.Zidane naona alielewa kazi ya kijana kova baada ya kumficha messi mfukoni