h120
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 2,545
- 3,367
Hata iliyopita alicheza deep ndio maana alimficha messi, kwa line up ya leo naona zizou anataka kutawala mid.Kovacic anaupiga mwingi sana kwa kweli, anaweza akatembea na kijiji. Uwezo wake umempa nafasi nyingine tena Leo, japokuwa Leo anacheza chini kidogo na ilivyokuwa game iliyopita.