cherie neisha
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,873
- 20,705
Benzema mziiiitoUsishanga Zidane akampeleka Isco bench Benzema akabaki uwanjani.
Benzema mziiiitoUsishanga Zidane akampeleka Isco bench Benzema akabaki uwanjani.
We sure doWe need Asensio here.
Benzema Sina hata hamu ya kumwonaYaan hapa mmoja kati ya bale au benzema afanyiwe sub...au wote kwa pamoja
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Na ndie aliekuwa mwiba kwa Man U. Yan kaea mtamu balaa. Sema amekosa wamaliziaji wazuriIsco amebadilika sana toka msimu uliopita.Amekua kwenye kiwango bora Mno.
Assensio, Ronaldo na Vazquez waingie tu. Bale na Benzema wameshindwa kaziYaan hapa mmoja kati ya bale au benzema afanyiwe sub...au wote kwa pamoja
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Hiyo ya Azam. Siyo ya kwenye ulimwengu wa kidigitalPossession Barca 93 Madrid 7
Nipo sana mkuu..ukata ulinitembelea mpk bando nikashindwa kununua.Mkuu upo?