pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,245
- 3,731
Kwenye penalt huwa hatunaga kipa.....angepangua hii ingekuwa maajabu...
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Mkuu ya pili kaonewa. Lile li umtiti limemlalia kabisa. Yani mi wananikera bhana.Red for Cristiano Ronaldo. Dah jamaa bora asingevua shati ingawa hii yellow ya pili kama kaonewa vile.
Ila kumsukuma refa naona jamaa anaweza kuongezewa adhabu.
Tumeshawazoea Mkuu!! hatuna shida nao sana, ila huu mzigo tunasepa nao!!A dive earns you a penalty but a player losing his balance earns him a red card.
Mjinga sana.Red for Cristiano Ronaldo. Dah jamaa bora asingevua shati ingawa hii yellow ya pili kama kaonewa vile.
Ila kumsukuma refa naona jamaa anaweza kuongezewa adhabu.