SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,028
- 5,355
Huyu kijana atakuja kuwatia kaka zake bench!! watu tuna red na bado tunatoa dose daadek!!A STAR IS BORN. WHAT A STRIKE IN THE MIDNIGHT
Ule ni mzuka tu kijana, so usimlaumu sana, jambo la kawaida tu katika mpira wa miguu!!





Mtoto akililia wembe unampa, uwanja wenu, refa wenu mashabiki wenu na bado walia,Pamoja na kucheza tukiwa 10 uwanjani bado REAL MADRID imethibitisha ni club bora kabsaaaa karne ya 21
Sent using Jamii Forums mobile app
A lot of controversial decisions but still Madrid managed to score with one man down.
We are one game away from winning this cup. Let's do this
Best team in the world. [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]



La kuvunda halina ubani game ilikuwa yetu tuMtoto akililia wembe unampa, uwanja wenu, refa wenu mashabiki wenu na bado walia,
[HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]!!