Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
Hahahahaha mbona wanaogopa ogopa, ndo mmeshaingia Anga za Machinjoni..andaeni shingo zenu tu warembo wetuThe players landed safely at Catalonia
![]()
![]()
![]()
![]()
Wewe ndio unaogopa. Tuliza mshonoHahahahaha mbona wanaogopa ogopa, ndo mmeshaingia Anga za Machinjoni..andaeni shingo zenu tu warembo wetu
Isco amebadilika sana toka msimu uliopita.Amekua kwenye kiwango bora Mno.Isco analeta radha jamani. Khaaa