Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Wakuu nawapa pole kinganila (kabisakabisa). kitendo cha mviziaji kuanzia benchi kitawacost sana.
 
Yeah!we're back again....baada ya kipindi cha fungate sasa tumerudi kujenga familia....ni usiku muhimu sana kwetu kwa maana ya kimashindano na kiakili...kama kawaida huwa tuna roho mbaya sana tukiona kombe mbele yetu...na hii leo dakika tisini tunampa mtu zake zakutosha....

Sent using Jamii Forums mobile app
Sure... I believe in Zizzou tutashinda tena....
 
Tatizo la Manchester united hawana striking force ya ku attcack nzuri wao ni ku defend tu basi ,Match ya kwao hii
 
Back
Top Bottom