pig man
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 292
- 319
Ni kwamba ni sisi tumeamua kupiga huu uzi, ama ni United wameamua kuvaa uzi wa nyeupe?
Anyway kwa vyovyote vile tunatakiwa tuchukue ndoo yetu, wenzao Juve walikaza mwisho wa siku walituelewa, sasa ni zamu ya hawa watoto wa Mou
Kovacic is now wearing the number 23 instead of 16.
![]()
Kesho mnapigwa subirini nyieNina imani kesho man united atapigwa vibaya. Let's wait and see. Ila my feeling tells me kwamba tunaenda kuchukua ndoo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo ninamkubali hadi kesho, nilianza kumfuatilia kuanzia anakipiga Castilla, ni kwa vile tu hakupata nafasi nyingi last season lakini ni kijana mpiganaji kweli na anajituma sana, hope kuna siku atavyaa tena uzi mweupe.The boy loves our club. If he scores many goals this season, he'll be a starter at the Bernanéu next 2 years. I guess
Ningependa pia nione anacheza hiyo kesho ila daa, sehemu yetu ya kiungo kutakuwa na mpambano wa aina yake, tuna wakali wengi sana mpaka ninahisi Zizou kichwa kinamuuma. Kila mmoja ni moto,I hope this dude starts tomorrow. He was so good in our last pre-season's, so good.
![]()
Me too man, ila ninaona wajamaa wanatuchukulia poa, sijui wanadhani wanacheza na team gani, kwanza final!??Nina imani kesho man united atapigwa vibaya. Let's wait and see. Ila my feeling tells me kwamba tunaenda kuchukua ndoo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Karbu kaka leo kwetu shereheWatani wangu Leo nitakuwa upande wenu siipendi Manchester united sana naomba niwashabikie kwa mkopo
Nakubali kazi hamtoniangushaKarbu kaka leo kwetu sherehe