Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,020
- 22,078
Update ni kuwa zidane kasema wachezaji wote wako na mood kuelekea final
Zizou alivyo na dharua jamaa anaweza hata asikae bench, ninaamin kuwa tuna team nzuri tu ya kuchukua kikombe, wapinzani wajiandae tu kwa mshtukoUwezekano wa cr7 kuanza leo ni mdogo, km madrid game ikiwa ngumu itabd aingie second half kama sub ila km ikiwa laini Uwezekano wa kutocheza haupo , ila i bet ataingia from sub
Hilo ninalitegemea kutoka kwa Real Madrid, hakuna haja ya motivation, hiyo ipo by default,Update ni kuwa zidane kasema wachezaji wote wako na mood kuelekea final
Sasa huyu Benzema ole wake atuletee mapicha picha tena Leo!! Hii ndoo inatatuhusu[HASHTAG]#OFFICIAL[/HASHTAG] REAL MADRID XI:
Navas; Carvajal, Varane, Ramos, Marcelo; Casemiro, Kroos, Modric, Isco; Bale, Benzema.
[HASHTAG]#HALAMADRID[/HASHTAG]
Yaani huyu benzema me simuhesabu kabisa kule mbele.Sasa huyu Benzema ole wake atuletee mapicha picha tena Leo!! Hii ndoo inatatuhusu