Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Mourinho hivi ana attacking plan kweli?first half inaishi striker hana attempt hata moja?wakifikanlwenye box ndo kwanza wanapiga passes kama wao ni Barcelona vile
 
HALF TIME: Real Madrid 1-0 Man Utd (Casemiro 24'). [HASHTAG]#RMSuperCup[/HASHTAG] [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]

DGuyTHzXoAEx-TL.jpg:large
 
HT:So far tumecheza vzr....dakika 10 za kwanza hatukuwa tumetulia...tuliwapa kiburi,baada ya kiungo kutulia mambo yakawa vyema...Isco amefanya kaz kubwa sana pamoja na viungo wengine...Casemiro kapiga kazi nzuri sana japokuwa naona ana kitambi kwa mbali...amekuwa mzito kidgo....as time goes on atabadilika nina imani....bale hajaonyesha kipya akifanyiwa sub ni sawa tu sanjali na benzema....akiingia Ronaldo na Lucas V tutaimarika zaidi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mourinho hivi ana attacking plan kweli?first half inaishi striker hana attempt hata moja?wakifikanlwenye box ndo kwanza wanapiga passes kama wao ni Barcelona vile
Lukaku bana,mourino itabidi aingie sokoni tena,what a one dimensional player-useless
 
Kuhusu lukaku nilisha comment kitambo modern football its not about kupiga peke yake inahusisha zaidi kuanda,kutengeneza na ku control Lukaku sifa ambazo hana me nadhani Ibra Cadrabra Man U wanatakiwa tu wampe mkataba tena
 
Mwekundu karibu Madrid, najua tarehe 13 hapo Camp Nou patachimbika

Don't tress urself with knowing all answers to every question. Don't worry nobody will be clever enough to ask you
 
Sisi formation yetu ni ku attack attack hadi uchanganyikiwe ndani ya dk 6 tunakunywesha goli 3 ,formation wanayocheza Man U inasababisha beki yenu iwe relaxed sana na waonekane watu
 
Back
Top Bottom