Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Wakuu huyu Benzema mbona simuelewi. Yaani yupo yupo tu uwanjani.

Sent using Jamii Forums mobile app

Yani NI Ukweli Usiopingika japo wapo watakaonibishia nililijua tokea mwanzo michuano hii itakuwa mibaya kwa Real Madrid kwa KUWA ATTACKING LINE YA MADRID BILA CRISTIANO HAMNA KITU...My take yule forward mmoja ambaye inabidi aondoke ili apishe Ujio wa Kylian Mmbape naona awe BENZEMA KWA KWELI BILA KUPEPESA MACHO game zote mbili tulizocheza Pre-Season amefanya ujinga mwingi sana.
 
Naona bado bale ni liability

huwezi jua

Kuna baadhi ya watu wanamlaumu sana Bale...ila Bale ni mchezaji mzuri akiwa sehemu ya tegemeo la timu lakini tokea mwanzo Real tumebuild Tegemeo letu Kwa Cristiano 90%...Ni ukweli usiopingika bale alishajiona sio kitu Kwa RealMadrid hapati attention anayopewa his fellow Cr7....Kwa hivyo anacheza Real Kwa sababu ni moja kati ya wachezaji wanaolipwa PESA nyingi lakini sio Kwa kujituma na kujenga tittle yake pia anafahamu wazi matarajio yake hawezi kuyafikia, hivyo basi tayari hali hii imeshajijenga ndani yake naomba ZIZOU KAMA WANAITAKA FUTURE YA REAL MADRID YA BAADAE NI VYEMA BENZEMA AONDOKE APISHE UJIO WA MMBAPE ALAFU TUTAMBUE CRISTIANO UMRI UMESHAENDA PENGINE ATA MSIMU HUU UNAOANZA WA 2017/2018...Akawa kwenye kiwango cha kawaida wamlete winger kama Marco Reus ashindanie namba na Cristiano na kuna baadhi ya mechi Reus awe anaanza hii itarudisha kujituma na ile accuracy aliyokuwa nayo Ronaldo mwanzoni na pia upo wakati Ronaldo atakuwa Right-Off kama hatutakuwa na mbadala wake mapema hii itasumbua sana trend ya Timu Kwa kuwa Timu ilishajenga Faith yake Kwa Cristiano...ni ukweli usiopingika kuwa ATTACKING LINE YA REAL MADRID INATAKIWA KUBADILIKA SASA KABLA HATUJAJA KUJUTA.
 
Kununua wachezaji kwa gharama kubwa haitatusaidia wengi wao wanaibuka kuwa flops
 
Mmmh hawa jamaa bado hawajaanza kuwa serious aiseh, Goli 4 kirahisi hivyo.

Wasiwasi wangu Vijana wetu wasije kuzoea Vipigo na hatimaye Wakaanza vibaya msimu Wa 2017/2018 LaLiga...maana hii ilishajidhihirisha Kwa baadhi ya timu kuwa sometimes KUFUNGWA NI MAZOEA...kuna msimu tuliwai chukua vikombe Vya kutosha na Kocha Ancelotti ila msimu uliofata hali ilikuwa mbaya tukakosa vikombe vingi na ilipelekea ancelotti kutimuliwa maana timu ilikuwa ya hovyo sana ule msimu hivyo ZiZou awe makini yasije kutokea yale ya ancelotti.
 
Kununua wachezaji kwa gharama kubwa haitatusaidia wengi wao wanaibuka kuwa flops

Najua umemaanisha Mmbape...Sasa ebu toa mawazo yako namna unavyoona Forward line ya Real ibadilike vipi ili irudi kuwa Potential???...maana hapo naona umetoa lawama juu ya ununuzi Wa wachezaji wa hela nyingi unaofanywa na uongozi wa Real bila ya kuweka mbadala Wa kipi kifanyike Sasa???...ukitaka kuzungumzia youngsters kama Asensio kuwa tegemeo la Fist-eleven utakuwa haupo serious Mkuu.
 
Zidane sijui ana mpango gani na striking force yetu. Anachochea mbape aje kwa kuwa tuu mbape ni mfaransa. Yaani hawa wafaransa sijui wana mentality gani.
 
Mmmh hawa jamaa bado hawajaanza kuwa serious aiseh, Goli 4 kirahisi hivyo.

Walikula bata sana lakini sizani hiki kama ni kigezo....maana Mpira unapigwa mwingi lakini umaliziaji Kule mbele ni ZERO...yani Forward line Haina ile attacking pressure na aggressiveness ya kutuletea goals...kuhusu kujiposition kwenye angle za ufungaji ni Cristiano ndiye aliye vizurii kwenye hili ila hayupo na kukosekana kwenye Attacking Line imeonyesha pengo la wazi.
 
Zidane sijui ana mpango gani na striking force yetu. Anachochea mbape aje kwa kuwa tuu mbape ni mfaransa. Yaani hawa wafaransa sijui wana mentality gani.

Mawazo yangu kama hatutaki Mmbape aje pale Real inabidi Benzema asepe na Ronaldo acheze completely CENTRE FORWARD...then tumnunue Marco Reus acheze winga namba ya Ronaldo...hii nayo inaweza kuwa mwarobaini Wa kutibu Attacking Line yetu.
 
Maskini? Kwahiyo bila CR7 ndiyo mnakuwa hivi!

Sasa bora sisi Mkuu...kulikoni nyie msimu uliopita mlikuwa mnapigwa na Neymar, Messi, Suarez na iniesta wote wakiwa ndani...Kwa hiyo Hamna cha ajabu hapo.
 
Na sijui Nini kilitufanya tuache kumsajili Degea...infact mourinho alisema alikuwa ameshafungua njia ya kumuachia Degea atue Real...ila Real tulipotezea na tulikuwa tumeshamng'ang'ania NAVAS ambaye hajui kusave errors za defence...shuti zuri likipigwa golini basi ujue ni goal tu wanapata wapinzani...Degea Jana kawaokoa sana Man-U ilibidi wale goals si chini ya tano Kwa defensive errors walizofanya Jana Man-u...Degea amewasave Man-U sana...sasa kwa huyu Navas wetu sijui itakuaje kwenye Classico inayokuja Siku za karibuni namimi navyoona tunaweza tukapoteza ata SuperCup vs Man-U tukileta utani kama hali itaendelea hivi ya kuruhusu vipigo.
 
Mzimu wa Morata utatutafuna sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Yani Mkuu wee acha tu Inauma sana...ukiangalia morata kasepa...kwenye attacking line yetu Ronaldo ndo mwenye impact naye hayupo...Huyo Benzema ni kilaza,Bale hajitumii inavyotakiwa...Asensio na Vazquez still they're growing sio wa kutegemea kwenye game kubwa kama hizi...na michezo hii inareflect kile kitakachoweza kutokea kwenye UEFA tunapokutana na vilabu vikubwa kwenye ligi ya mabingwa ulaya.
 
Pre-seasons are just for training and fitness, they don't necessarily define a season to follow. We lost all our pre-season games in 2014, including a 2-4 to Milan and 1-3 to United, and we had a decent run still.

Only negative things about our pre-season now are the setbacks on Ramos and Toni Kroos. No need to fuss.
 
Marcelo: "The result is not what we wanted, but it's not very important either. We did a good job and did what the coach asked of us. These games give people the chance to come and watch us, and for us they're just like another training session"
 
Perez and City chairman exchanging gifts.

DFuPGcUXkAACdrq.jpg


DFuPHuPXoAAISYv.jpg


DFuPJLGXgAIImsr.jpg


 
Alieyekuwa anaharibu timu (lucho) amesgawajibika.
Sasa bora sisi Mkuu...kulikoni nyie msimu uliopita mlikuwa mnapigwa na Neymar, Messi, Suarez na iniesta wote wakiwa ndani...Kwa hiyo Hamna cha ajabu hapo.
(
 
Back
Top Bottom