Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
"Beginnings of a €160m agreement for Mbappé."
Ila maajabu zaidi ni kuwa hawa Wehu wamechukua makombe yote makubwa ya ligiReal Madrid huwa ni wehu na wanapoteza hela za bure kabisa
Wachezaji wote walio nunuliwa kwa bei ghali hawajafanya la maana lolote lile
Angalia Bale, James
Huyu wanayetaka mnunua atakuwa flop of the year
Naona anunuliwe afu awe flop ili huo ujinga uoshe