Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
Ahsante sana mdau...me nazurura tu na jezi yangu mtaanWrong bro. Real Madrid inaingia kama favorites. Wengi wanajaribu kujipa matumaini cos wanafikiria gap la mafanikio tutakaloacha tukibeba hiyo ndoo. Juve wako vizuri na wanaweza kushinda, ila game iko kwetu kushinda au kupoteza.
Tunashinda hii mechi no matter utabiri wao wa miakaAhsante sana mdau...me nazurura tu na jezi yangu mtaan
Hala Madrid

Ha ha ha nilijua nimeliona peke yangu hili, itakuwa sababu ya lugha!Duuhh nimegundua wanakaa siti kutokana na nature ya utaifa au lugha wanayozungumza ....
Luka v bale walikuwa tote na wanaongea kingereza
Motara asensio na carvajal both are Spanish
Varane v benzema French
Pepe v coentrao Portuguese
AS:
Real Madrid's 7th UCL hero vs Juve in 1998, Mijatovic - "We're win 2-0!"
Carvajal is ready and will start the UCL final in Cardiff.
![]()

Hivi kumbe Clarence Seedorf akichezea Madrid pia me nilimjulia Inter Milan aiseh na sikuwahi fuatilia historia ya timu alizochezea.Real Madrid Legends in Cardiff supporting the team.
![]()
Aliichezea real madrid, na alicheza dk zote 90 kwenye fainali ya UCL 1998Hivi kumbe Clarence Seedorf akichezea Madrid pia me nilimjulia Inter Milan aiseh na sikuwahi fuatilia historia ya timu alizochezea.
Huo uzi hauna shida Mkuu, upo poa kabisa, kwanza tukivaa huo uzi vijana huwa wanatakata sana!! ninatarajia mkubwa Leo!! [HASHTAG]#Aporla12[/HASHTAG]!! #HalaMadrid¡¡Hizi jezi zetu leo vipi hizi...maana huwa zina kagundu kalikojificha....ile leo nasikia harufu yakuweka record....
Safi sana Mkuu, unatuwakilisha vyema, Leo ni ile siku ukiamka tu asubuhi unakuwa na furaha na excitement muda wote!!Ahsante sana mdau...me nazurura tu na jezi yangu mtaan
Salama kabisa Mkuu, karibu tena man, baada ya wale ndugu zako wote uliokuwa unawashangilia watufunge tumeshamalizana nao, na Leo tunaye huyu wa Mwisho, karibu sana ushuhudie mpambano!!
Huyo jamaa anashikilia rekodi ya kuchukua huo ubingwa na vilabu tofautitofauti,alichukua na Ajax,alichukua na Madrid,alichukua na AC Milan!Alichukua pia na Arsenal!Sentensi ya mwisho ni utani.Hivi kumbe Clarence Seedorf akichezea Madrid pia me nilimjulia Inter Milan aiseh na sikuwahi fuatilia historia ya timu alizochezea.
tena nasikia wewe umepata hadi homa. pole mkuu maana Marcelo hawezi panda sababu ya Alves. mmeshafungwa kabla ya mechi. leo ''mashabiki'' wa Juve ni mwendo mdundo.We makuzi hii ndio nini?