Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #29,761
Real Madrid won't go to Cibeles tonight if they beat Juventus. The celebrations will be on Sunday afternoon [as]
CDR ni kombe letu. huwa hatushangilii tukilipata. unawazungumziaje Chiellini na Bonucci?Mkuu kashangilie Copa Del Rey hapa wanaongea mabingwa wa UCL tu.
Mkuu ujaona gazeti lao la leo? Nimelipost huko nyuma, wameandika kwa herufi kubwa za rangi rangi, "Forza Juve", akili zao ni za kushikiwa, hawa ndio watasababisha leo tuchukue Ubingwa.
Eeh aiseh naona kachukua mara 5 na vilabu vitatu tofauti.Huyo jamaa anashikilia rekodi ya kuchukua huo ubingwa na vilabu tofautitofauti,alichukua na Ajax,alichukua na Madrid,alichukua na AC Milan!Alichukua pia na Arsenal!Sentensi ya mwisho ni utani.
Seedorf and Zidane
![]()
CDR ni kombe letu. huwa hatushangilii tukilipata. unawazungumziaje Chiellini na Bonucci?
CDR ni kombe letu. huwa hatushangilii tukilipata. unawazungumziaje Chiellini na Bonucci?
Greetings among LEGENDS!!!
The greatestRaul and Zidane
![]()