Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid on their way to the National Stadium of Wales for tonight's training session!
1f68c.png
27a1.png
1f3df.png
[HASHTAG]#APorLa12[/HASHTAG]


Nimemiss hii kitu aisee, na nilipania sana kuona final training, ila hawa Tanesco walichokifanya wanajua wenyew!! hope watarudia hata baadae kidogo.
 
Juve hawana tofauti na Atletico mkuu, na Real wana uwezo wa kubadilika kila game mimi mbona sina wasiwasi nao.
Ndio sifa yao kubwa, sasa wanasahau kuwa aina mchezo kama wa kwao tumeshakutana nayo sana, na bado tukavuka, na hii tutavuka tena pia!! [HASHTAG]#VamosReal[/HASHTAG]!!
 
Duuhh nimegundua wanakaa siti kutokana na nature ya utaifa au lugha wanayozungumza ....

Luka v bale walikuwa tote na wanaongea kingereza

Motara asensio na carvajal both are Spanish

Varane v benzema French

Pepe v coentrao Portuguese



Lugha ni muhimu, ila pia factors nyingine. Kwa mfano, Casemiro, Marcelo na Danilo hawajakaa pamoja japo ni wa-brazil, kama ilivyo kwa Dani, Morata na Asensio(spanish). Kovacic (Croatian) kakaa na Toni Kroos(German).
 
Nimepita kwenye mitandao huko, ninaona watu wengi wanawapa Juve nafasi, ila sababu zao zinafanana, kila mmoja anazungumzia defensive line ya Juve, lakini wanasahau kuwa wakati wao wanacheza sisi hatutakuwa tumesimama tukiwaangalia wanacheza, na vijana wetu watakuwa wanacheza pia, sasa ni kazi kwao kujuuliza tutakuwa tunacheza style gani, ninaamin uwezo wa vijana wetu wa kubadilika kutokana na mchezo, so ninaamin kesho usiku tutashangilia wote ushindi wa Real Madrid!! [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]!! [HASHTAG]#Aporladuodecima[/HASHTAG]!!
Ndio...na kimsingi madrid inaingia ikiwa underdog...isiyotegemewa kuchukua ubingwa....hii ni fainal....ni mechi yakutafuta matokeo zaidi..muhimu ni nidhamu
 
Ndio...na kimsingi madrid inaingia ikiwa underdog...isiyotegemewa kuchukua ubingwa....hii ni fainal....ni mechi yakutafuta matokeo zaidi..muhimu ni nidhamu

Wrong bro. Real Madrid inaingia kama favorites. Wengi wanajaribu kujipa matumaini cos wanafikiria gap la mafanikio tutakaloacha tukibeba hiyo ndoo. Juve wako vizuri na wanaweza kushinda, ila game iko kwetu kushinda au kupoteza.
 
Back
Top Bottom