Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

54eff35c13acd7af0644353f2124a8fa.jpg
 
Hala madrid....tujipongeze kwa kaz nzuri sana ya msimu huu katika ligi....kuanzia uongoz na mashabiki wote dunian....niwape hongera wakuu wote jukwaan huku...Salamander kwa kutupa updates za mara kwa mara bila kuchoka sanjali na wadau wengine....sasa twendeni tukachukue UCL kabisa msimu uwe safi huu.....hala madrid...
 
Back
Top Bottom