Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #29,341
MALAGA SO CLOSE !!!!
77' MGA 0-2 RMA
[HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
77' MGA 0-2 RMA
[HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
Hahaha itakua anabetNamuona Perez yuko uwanjani lakini aangalii mpira, ye na simu tu saa zote, sijui anaangalia mpira online? Labda anabet
Kumbe tuko wote kuanzia Dar Young Africa, Manchester United na Real Madrid?We are de Champion baby
Yani nimekosa kikombe cha EPL tu dadeki.
Tzee na Spain kote nimechukua.
Hahaha!! Mzee wetu atakuwa alikuwa anasikiizia game ya wajamaa wa upande wa piliNamuona Perez yuko uwanjani lakini aangalii mpira, ye na simu tu saa zote, sijui anaangalia mpira online? Labda anabet