BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,341
Real Madrid for life
hahahaVijana walipigana sana sana, ilifika kipnd hata tukifungwa tuliamini kuwa vijana watarekebisha mambo!! Na kweli,this season hawa vijana walitufundisha kuwa mpira ni dakika 90,!! Vamos Real!!
Thanks a lot Mkuu, na wew pia tukushukuru kwa kutupa changamoto mara kwa mara!! Karibu tena Mkuu!!Hongereni wakuu. Mmepambana kiume sana huu msimu.
Thanks a lot Mkuu, na wew pia tukushukuru kwa kutupa changamoto mara kwa mara!! Karibu tena Mkuu!!Hongereni wakuu. Mmepambana kiume sana huu msimu.
Kesho natamani niende kazini nimevaa jezi ya [HASHTAG]#MADRID[/HASHTAG] ila ndio hivyo hairuhusiwi![]()
![]()
![]()
Usiku wa leo mnono sana

![]()
Mashabiki wakisubiri ndege toka Malaga itue Madrid shangwe ziendelee![]()
![]()

Haaa haaa haaaYaani mitaa hiyo man saa hizi ni ulabu tu. Namiss sana pande hizo man.