Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #29,421
Champions !
Hiyo party ingekuwa inapigwa hapa bongo hata kazini wasingeniona kabisa!! ingekuwa ni mwendo wa kuruka tu debe na kushanglia, kuchukua ubingwa ni raha sana kwa kweli!! [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]!!Yaani mitaa hiyo man saa hizi ni ulabu tu. Namiss sana pande hizo man.