Nifah
Platinum Member
- Feb 12, 2014
- 34,416
- 82,368
Mimi ni Arsenal mkuu, hihiiiiiiiiKumbe tuko wote kuanzia Dar Young Africa, Manchester United na Real Madrid?
Mimi ni Arsenal mkuu, hihiiiiiiiiKumbe tuko wote kuanzia Dar Young Africa, Manchester United na Real Madrid?
Nakumbushia tuBenzema ndio bom linalomlostisha zidane, sijui anampendea kitu gani?! Kashajifungulia mlango wa kutokea kwa kuendekeza Ufaransa wake![emoji35] [emoji35]
Zidane
Appointed on 5th of Jan 2016
M- 85
W-64
D-14
L-7
1 La Liga [emoji471]
1 Champions Leauge [emoji471]
1 UEFA Super Cup [emoji471]
1 FIFA Club World Cup [emoji471]
the bloody coach
Hala Madrid [emoji146]Campeones Campeones OLE, OLE, OLE!!!![]()
![]()
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] MLIPOTOKA NI MBALIZidane Aondoke Ili Apate Nafasi Ya kuishi Na Benzema Nyumba Moja Kama Mke Na Mume..
Pole kwa EPLWe are de Champion baby [emoji23][emoji119][emoji122][emoji122]
Yani nimekosa kikombe cha EPL tu dadeki.
Tzee na Spain kote nimechukua.
Nataman zidane akose makombe yote msimu huu...
Unaleta ukabila kwenye maslahi ya timu. Morata anabaki nje libenzima linarukaruka tu uwanjani kiss ni lifaransa lenzake. Ukabila unagharimu timu ,hata mm wa kolomije siwez Fanya huu UJINGA.
Bro hayo mambo yapo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] MLIPOTOKA NI MBALI
Lipumbafu kweli hiloo, benzema na cr7 siyo wa kuanza pamoja kwenye mechi kama hizi.
Morata anaesaidia kukaba na kufunga eti anamsigulisha benchi.
[emoji8] [emoji8]
HONGERENI WATANI KWA KUTWAA KOMBE KIUKWELI MMESTAILI[emoji122] [emoji122] [emoji122]View attachment 500307 All bow to your King-MESSI