Alisina
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 4,275
- 4,607
Tukisema utaifa Kwanza mmh,Ivi kwa nn Zidane huwa anampenda benzema, wakati mtu mwenyewe ameshajichokea tuu
Tukisema Waarabu wote mmh,
Alvaro morata anazidi kusugua benchi inauuma...
Tukisema utaifa Kwanza mmh,Ivi kwa nn Zidane huwa anampenda benzema, wakati mtu mwenyewe ameshajichokea tuu
yes mam, haya yasha isha tuchek mechi zknazo kujaYeah next timeee... Tuwasubiri atletico tuuu
Mkuu unafamilia, I mean mke na mtoto/watoto?Inauma kuliko hata msiba wa mke
Mamaeeeee.......
Mbona nyote mnatamka maneno sawa kwa wakati mmoja, nini kimetokea?Fukc
Mabeki

bro umewahi shabikia timu ikafungwa!!? hasa unayo ipenda!!?Mkuu unafamilia, I mean mke na mtoto/watoto?
Mim.ndio nipo nimekuwa bubu kabisa man, hapa kichwa kinaniuma sio kawaida, sijui kama nitapata usingiz kabisa man!! aah!!yaan bos watu wananigongea hapa gheto kama nimeiba ila nimechuna kimyaaaa.
nashindwa had kichambua mechi yaan
OMG!!
daaah! yaan bos acha tu, ila ngoja tunrest tuone inakuwaje mechi zijazo, na zenyewe ngumuuuuMim.ndio nipo nimekuwa bubu kabisa man, hapa kichwa kinaniuma sio kawaida, sijui kama nitapata usingiz kabisa man!! aah!!
Mkuu I do feel the pinch, ila kuna vitu vya kulinganisha. Hivi mfano tuseme wewe ni mtoto na upo na Baba yako mnaangalia hii game alafu wewe labda ukawa unashabikia Barca mzee anashangilia Madrid, then baada ya kufungwa Mshua akachana mistari kana ya jamaa hapo juu tena kwa kumaanisha kweli kwamba ni bora angedanja mama yako, machumgu kwake yangekuwa kidogo kuliko ilivyofungwa Madrid.bro umewahi shabikia timu ikafungwa!!? hasa unayo ipenda!!?
unaweza kukuta wote hamja experience kila mtu anacho feel inaumaaaaa kufungwaaaaa
I have marked your words, but remaimber each team aim to win each matchTuna gam mkononi.
Tutachukua ligi na uefa.
Mark my comment...
celta vigo tena ugeninTuna gam mkononi.
Tutachukua ligi na uefa.
Mark my comment...

hahahahaMkuu I do feel the pinch, ila kuna vitu vya kulinganisha. Hivi mfano tuseme wewe ni mtoto na upo na Baba yako mnaangalia hii game alafu wewe labda ukawa unashabikia Barca mzee anashangilia Madrid, then baada ya kufungwa Mshua akachana mistari kana ya jamaa hapo juu tena kwa kumaanisha kweli kwamba ni bora angedanja mama yako, machumgu kwake yangekuwa kidogo kuliko ilivyofungwa Madrid.
Swali: Wewe kama mtoto au pengine ukute na mama yako yupo hapo, mngejisikiaje au mngefanya nini?
Kwa Atletico ndipo mtasaga meno kabisa.Yeah next timeee... Tuwasubiri atletico tuuu
Mkuu, tafuta panadol za kenya, meza hizo, ni nzuri sana.true yaan jaman nadhan nachanganyikiwa![]()
![]()
![]()
sjielewi elewi, why lakin? why!!?
furesh mwananguMkuu, tafuta panadol za kenya, meza hizo, ni nzuri sana.