Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Still we need strikers wanaocheza kwa ajili ya matokeo ya timu. Ile attempt ya mwisho Ronaldo hakutakiwa kubahatisha kwasababu Asensio na Morata walikuwa kwenye nafasi nzuri ya kuweka mpira wavuni
 
Atakua kapata brain activator too bad leo nimeshindwa kuangalia game

[HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
Hahahaha, inawezekana kwa kweli, sio kwa kile alichokifanya. Pole sana Mkuu, ila usihofu utapata nafasi ya kuangalia Final!! [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]!!
 
MAESTRO
C_fZd7vXoAAYhim.jpg
 
Yule ni sawa na homa ya vipindi!! muda huu yupo poa ghafla anabadilka anakuwa gharasa, ila Leo ametusaidia kwa kweli, alifanya kazi nzuri!!
Yaah ile kupigana kwake palileta utulivu flan baada ya goli kupatikana ila modric na fransisco pale kati na Germany mashine walikuwa wana nyumbulika pale mpaka burudani.
 
Ukitizama siku ile nacho alicheza vizuri fullback pale alipoumia carvajar kuliko danilo sijui huwa ana wasi wasi gani!
Ni afadhali angecheza Nacho kuliko Danilo kwa kweli!! yaani yeye awe anacheza game za akina Granada tu, kuna lile boko alilolitoa sema Navas akatusaidia, jamaa alitaka kupiga mpira kwa kichwa na kwa mguu wakati mmoja!! itakuwa vema tu akatembea mwisho wa msimu huu.
 
Back
Top Bottom