errynest s Lukindo
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 484
- 165
AmenKwa final nilizushudia za UEFA [HASHTAG]#Madrid[/HASHTAG] hajawahi kupoteza hii pia tunachukua ndoo.................... Mark my words
Mi naona angestahili kuwa man of the matchBenzema leo kakazana si mbaya
Danilo ana kismati sana, ni kama Umtiti wa Barcelona. Hakustahili kucheza kwenye vilabu vikubwa kama Real madrid.Hapo ndo huwa nasema katika usajili ambao wa kawaida tumefanya ni huu wa danilo
Hiyo ya Man of the match utakuwa unampa kichwa sana, kwangu mimi Man of the match alikuwa ni Luka Modric, alinikosha sana kwa kweli!! ninadhan Atletico watakua wanaumizwa zaidi na jinsi Modric akivyokuwa anatawala dimba!! Ninatamani kuangalia tena jinsi jamaa akivyokuwa anawachambua.Mi naona angestahili kuwa man of the match
Most European Cup final appearances:
15 REAL MADRID
11 Milan
10 Bayern
9 Juventus
8 Barca
7 Benfica
7 Liverpool
![]()
Maana yake tumepoteza fainali 3
Tumeshinda 11
1 mkononi