Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #28,841
Huu sio mpira tena, imekuwa vurugu
Basi tushaongeza mlima hawawezi kuklia zoteIscooooooo......***** bao haliji hadi mafuta
Imeisha hiyo tumewakatisha tamaa tayarinow atletico need 5 goals to go through
HahahaaaaaaIscooooooo......***** bao haliji hadi mafuta
That was class man!! Leo kawatoka mabeki watatu, noma sana man!! Kazi inaanza upyaWacha Benzema nimsifu kwa hili amepigana sana kipando kimeongezeka
Atakua kapata brain activatorThat was class man!! Leo kawatoka mabeki watatu, noma sana man!! Kazi inaanza upya
too bad leo nimeshindwa kuangalia game
HT😀akika 20 za kwanza hatujacheza vzr kabisa...mara ya mwisho kucheza hovyo namna hii ni msimu ule tunafungwa 5 na barca.....nikiri kuwa beki zilipoteana kabisa pamoja na kipa....kiungo ikawa inapoteza sna mipira...hata hili goli nila kulazimisha zaidi kuliko mipango....hawa jamaa wakirudi kipindi cha pili watakuja kwa kas maana hawana chakupoteza....nahofia red kwa ramos au casmiro najua watapagawishwa sana ili wacheze rafu....ukiangalia hili game vzr isco ndio muamuzi wa hii match kwa upande wetu maana ndio anaendesha timu anavyotaka....inatakiwa awe na maamuzi ya uhakika na busara...aache kutoa pasi ambazo hazina macho...counter attack mbili hawa wanalia tena leo mapema....
Wakirudisha kwa navas mara ya tatu tunaitwa kati