Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #28,861
65' 2-1 (2-4). We will score another one, we are playing much better in such a high intensity game !!
[HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
[HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
Tuliwapa kichwa sana awal hawaAtleti waliingia na surprise perfomance.
Yaan mpira ukirudishwa kwa navas mtu unaelekea kwenye korido ya choon.....Acha Tall, kuanzia dakika hii tutaweka ball chini.
Hakyanan me nakuambia...ni mchezaji wa kawaida sanaaaila danilo bhana hana kariba ya kuwa madrid basi tuu
Kafanyaje mkuu! Kwani dk za majeruhi wameongeza dk ngap?Ronaldo uchoyo gani ule
Kafanyaje mkuu! Kwani dk za majeruhi wameongeza dk ngap?
Ila game ya leo mbadembade inataka manunda sio legelege ilimfaa sana ila ndio hivyo ugonjwa wake kakosa bao zuri la kichwa.That was class man!! Leo kawatoka mabeki watatu, noma sana man!! Kazi inaanza upya
Kocha simeone kelelele zake hazisaidiii ajifunze kutulia kama zidaneSasa basi tuonane huko Cardiff akanyolewe mtu!! nimependa tu utulivu wa wachezaji wetu!! walitulia hata baada ya kufungwa., raha sana ukijua unachokitafuta!! [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]!!