Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #28,461
Carvajal has been so dangerous at the right.
game nyingi za uefa kupitia hizo channel hurusha jtano mkuu means kesho ya juve watairusha but jnne huwa hawazirush isipokuwa utaipata kupitia supersportsDaa naikosa game hivi hivi,maeneo nilipo kuipata Dstv ni miujiza.
Iloopita Azam walionesha kupitia UBC Na Ktn Leo kimywaaa
OK nimeelewa sasagame nyingi za uefa kupitia hizo channel hurusha jtano mkuu means kesho ya juve watairusha but jnne huwa hawazirush isipokuwa utaipata kupitia supersports
Yaani mpaka apate nafasi kumi ndo anafunga moja! aingie mtu wa kunyumbulika vinginevyo tutajutia nafasi hizi.Benzema anashindwa kumsumbua Oblak nafasi zote anazopata.