Unajua Morata ni msumbufu kuliko benzema.....Benzema anashindwa kumsumbua Oblak nafasi zote anazopata.
Fox SportsAzam king'amuzi,channel ipi
Pole leo niko bize kesho kujitahidi na live updatesUpdate please.... Wengine hatuoni mechi twategemea huu uziy
Leo wajamaa wa team A wanacheza vizur na kwa ushirikiano kama team B, kasoro Benzema tu ndio analeta shida pale, nafasi zote zimedondokea kwake na amekosa zote!! Morata angeleta tofauti sana pale.Yaani mpira wote ule goli moja tu?
Duuu nilale tu maana kukosekana kwako ni kama Madrid bila marcelloPole leo niko bize kesho kujitahidi na live updates