Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,703
- 6,363
Huo ndio tupo active zaid kuliko ule wa watatu mbele, karibu lakin MkuuNtaroga sana leo. huo mtindo wa wawili mbele umefeli kabla ya mechi.
Huo ndio tupo active zaid kuliko ule wa watatu mbele, karibu lakin MkuuNtaroga sana leo. huo mtindo wa wawili mbele umefeli kabla ya mechi.
naona kama mmewarahisishia jamaa kujilinda. na wako vizuri kwenye hiyo kazi, mtapataje magoli?Huo ndio tupo active zaid kuliko ule wa watatu mbele, karibu lakin Mkuu
Forwad eti Benzema!!!naona kama mmewarahisishia jamaa kujilinda. na wako vizuri kwenye hiyo kazi, mtapataje magoli?
Hahaha. Kwahiyo kihalisia kule mbele kuna mtu mmoja na nusu!!Forwad eti Benzema!!!
[HASHTAG]#hahamadrid[/HASHTAG]Vamos Real
Huyu benzema siyo siri sa hv hajiamini kabisaaa