Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Alonso kamkanyaga Vidal
hahahaGame tamu sana naifaidi home via streamin mubashara kabisaaa
Wewe Madrid?huku kukosa magoli sasa tumezidi
Vidal na Lendawoski wana mwelekeo wa kufunga kwa kuagizia kulikoni Ribery au RobbeanThe game tempo was confirmed when Vidal got the yellow in the 5th minute. End to End stuff for the entire game!
Sio mbaya sana, nilitegemea utulivu vijana waliounyesha mpaka sasa, kipnd cha pili ni cha kumaliza game sasa, Kroos Leo hatawakosa, bado tu mambo hayajakaa poa.hahaha
sawa asee
ila nakereka kukosa magoli we shoild have been leading 2-0 hapa
kuna moja ronaldo kafanya uchoyo nime mmind kshenz yaanUmakini mdogo