Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Sio mbaya sana, nilitegemea utulivu vijana waliounyesha mpaka sasa, kipnd cha pili ni cha kumaliza game sasa, Kroos Leo hatawakosa, bado tu mambo hayajakaa poa.
So far Dani na Marcelo wamefanya kazi kubwa sana.
yeah tumecheza fresh tu kukosa ndio sja kuelewa elewa ila mengine fine kabsa
 
Atasakata hili soka kwa miaka mingapi hajakiri kwa kinywa chake: lenye mwanzo halikosi mwisho
 
kuna moja ronaldo kafanya uchoyo nime mmind kshenz yaan
Ile alkikosea tu timing, alitakiwa atoe pass mapema kabisa, kusogea nao ilikuwa ndio kosa, anyway hope Zidane ataongea na vijana wake ili warekebishe makosa kipnd cha pili.
 
Kwa hizi counterattack za Bayern nionavyo mkakati wa Marcello na Ramos kwenda mbele utakuja kuwagharimu
 
Kulikono Mourinho awekwe kwenye tangazo la UEFA wakati team yake ni mwaka wa 3 huu wanayasikia tu mashindano kwenye bomba
 
Siyo rahisi hawa wawili waachwe waweze kurudi haraka na hapo Lendawoski atawafanyia finishing
 
Leicester ni kama ndiyo wameaga maana anahitaji goli tatu kufuta hili moja la ugenini
 
BUCKLE UP! SECOND HALF IS UNDERWAY

RM 0-0 BAY
AGG(2-1)

[HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]


18010771_1568691426488945_442376470754600434_n.jpg
 
Back
Top Bottom