Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Ndio Morata hana experience sana ya UEFA kushinda Benzema ila leo mtoto wa watu alistahili kuanza,yeye na Isco hua wanacheza combination nzuri sana ya ku attack mbele
 
Real wanajaribu kuwaiga Manutd walivyocheza na Chelsea lakini viwango vyao chini ya Manutd
 
Back
Top Bottom