Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #27,221
Ancelotti: "Real Madrid could've killed it, thankfully they didn't score more. We're in for a difficult 90min but must do our best."
Ninahisi maboss wa Bayern wakiona Kroos anavyopiga mpira mwingi, nafasi zao zinawasuta sana haswa ukizingatia na pesa waliyoipokea kutoka kwa Real Madrid, hili jambo litakuwa linawauma sana sana!! Credit ziwaendee maboss wa Real Madrid wakiongozwa na Don Perez.Historians will write that the biggest blunder of bayern was to sell Kroos to Madrid.
Maajabu huwa hayaishi, kila mara ni yeye tu, sijui mwenzetu ana misuli ya aina gani!! karudi kutoka majeruhi juzi tu, na hapo kuna baadhi ya game anapumzishwa, ila ndio hivyo!! Club itabid iliangalia hili suala kwa umakini sana!!This is beyond ridiculous, how can a player be injured as much as Bale? He's out of the Sporting game plus big doubt for Bayern and El Clasico
Kitendo cha Pep kumsajili Thiago ndio kiliwafanya Bayern wamuuze tena kwa bei chee ni kosa kubwa kama walilofanya Barca kumuuza Thiago na kumbakiza FabregasNinahisi maboss wa Bayern wakiona Kroos anavyopiga mpira mwingi, nafasi zao zinawasuta sana haswa ukizingatia na pesa waliyoipokea kutoka kwa Real Madrid, hili jambo litakuwa linawauma sana sana!! Credit ziwaendee maboss wa Real Madrid wakiongozwa na Don Perez.