Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Tall, tumekosa magoli kama 8 hivi. Huyu Benzema angeenda bench before akaingia Morata maana ana uchu wa magoli naona angepiga hata mbili.
Zidane hovyoo kabisa ,unanwachaje morata nje full time na MTU kashalimwa red...
Unamwona kabisa benzema anazingua halafu unampa full time game!!!!
Zidane hovyoooo
 
Bernabéu Real ndio wanakotakiwa kucheza mpira hasa. Maana leo hii ni trailer tu, game hiyo ndio unajua nani anaaga mashindano. Na tukiwatoa hawa basi tunabeba ndoo.
 
Zidane hovyoo kabisa ,unanwachaje morata nje full time na MTU kashalimwa red...
Unamwona kabisa benzema anazingua halafu unampa full time game!!!!
Zidane hovyoooo

Hata mimi nilikuwa sijui kwanini Morata yuko Bench wakati Benzema anachekacheka tu uwanjani. Zile nafasi angepata Morata tungeona matokeo tofauti leo.
 
Tall, tumekosa magoli kama 8 hivi. Huyu Benzema angeenda bench before akaingia Morata maana ana uchu wa magoli naona angepiga hata mbili.
Mkuu Salamander leo nimekasirika sana....huyu zidane utaifa unamponza sana...benzema leo anarukaruka tu...mora hapa leo ungezungumzia goli 3 kabisaaa
 
50bdf7dcee0b07ad5b94f9d5dc0e0670.jpg
 
Siku refa huyu wa Mechi hii akifa nitamutupa Kagera awe chakula cha Mamba.

Vidal-Mtu wa shughuli... A one man army.
 
Back
Top Bottom