raha ya mpira magoli.Kabaki mfungaji wa Magoli tu,kaishiwa Mpira wa ladha.
yani unataka kuifananisha Real madrid na arsenal?
Hii ni dharau ya kiwango cha juu kabisa! Yani madrid iwe sawa na aseno? Kwani real kafugwa tano moja??yani unataka kuifananisha Real madrid na arsenal?
Shukran sana Mkuu, wengi hawakutegemea ila ndio siku nyingine muelewe kuwa Real Madrid ndio wakali wenyew.sikutegemea kuwa mtaondoka na ushindi leo. mmepambana,hongereni.
Nimezipokea Mkuu kwa niaba ya Madridista wenzangu!!hongereni watani,bora nyie mlivyopangiwa bayern ambao wanafunguka,ila ma juve hayafunguki alafu yamejazana katikati
Tumeshaweka mguu kweny mstari, kilichobaki ni vijana kupambana ili kuhakikisha kuwa tunavuka!! wakiendelea na nidham walioionyesha jana, tutavuka!! [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]!! [HASHTAG]#APorladuodecima[/HASHTAG]Nusu final hiyooooo
Mapenzi uzazi romance mbwembweKabaki mfungaji wa Magoli tu,kaishiwa Mpira wa ladha.