Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #27,261
Is Zizou thinking of starting him on the wing against Bayern in place of Bale?
Atafaa sana kwa kweli!! huyu kijana ananyambulika sio kawaida man!! Tuna hazina kubwa sana, vijana wanaupiga mwingi kinomaIs Zizou thinking of starting him on the wing against Bayern in place of Bale?![]()
Wala hamna shida Mkuu, hawa ni wetu kabisa, vijana wanaonekana hapana presha kabisa, ninadhan wana enjoy kucheza mpira tu37' SPO 1-1 Real Madrid.We must score before half time to ease off some pressure. [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
Wala hamna shida Mkuu, hawa ni wetu kabisa, vijana wanaonekana hapana presha kabisa, ninadhan wana enjoy kucheza mpira tu
hivi jaman timu yetu mara ya mwisho kupata clean sht ni lin?
Ni kweli Mkuu, ila jinsi ya vijana wetu wanavyocheza ninaona kuna goli kabisa. Tatizo limekuwa kwa Vasquez tu bado anachelewa kuingia kwnye box la adui, ninadhan Zidane atawapanga poa kipnd hiki cha pili.Tunataka magoli kwanza, hizi ni point 3 muhimu. Wameweka deffenders 5 kwenye box, waliobaki 5 wote wako kama midfielders, I don't like this kind of games, wakitufunga goli jingine wanaweza kutuletea matatizo hawa.
sikumoja tutakuja kuotewa halaf hatuta amini.
Kaka we acha tu. Tunaruhusu sana magoli na hii ndio inafanya kila game kwetu iwe ngumu.