Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,650
- 20,994
mnaweza kurudi. naona wanafight kwa morale.Game over,Jesse naye anatafuta goli
mnaweza kurudi. naona wanafight kwa morale.Game over,Jesse naye anatafuta goli
Lakn pia isco alipewa goal la offsideMorata kafunga goli halali kabisa.
Mkuu bale kaona ujinga mkubwa adui yake a drible mpira mbele yake na maana akacheza takle behind ambayo n straight red card lakn hyo haikutosha akaamua kusukumana na Adui yake ambalo n kosa kubwa sana...Las Palmas wanacheza rough game Bale kapaniki mwisho wa siku imetu cost... Ila siwezi mlaumu sana Bale kwa kile kitendo
Bs.....tell it to the birds....Mkuu bale kaona ujinga mkubwa adui yake a drible mpira mbele yake na maana akacheza takle behind ambayo n straight red card lakn hyo haikutosha akaamua kusukumana na Adui yake ambalo n kosa kubwa sana...
Karudie kuangalia haikua off side.Lakn pia isco alipewa goal la offside
Benzema sijui ana mgomo baridi au anampango wa kwenda China?Benzema jamani kafoji kipaji km Bashite
Mkuu huwa spend ubishan.... Tupia hilo goal uone... Hyo mpaka watangazaj wenyewe inarudiwa na Wan kubal kabsa n offsideKarudie kuangalia haikua off side.