Sio offsideMkuu huwa spend ubishan.... Tupia hilo goal uone... Hyo mpaka watangazaj wenyewe inarudiwa na Wan kubal kabsa n offside
Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
okey, ni offside sasa basi tazama picha hapo juu za magoli ya Morata yote mawili yaliyokataliwa. Kisha tuweke double standard.Mkuu huwa spend ubishan.... Tupia hilo goal uone... Hyo mpaka watangazaj wenyewe inarudiwa na Wan kubal kabsa n offside
Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
Goal la kwanza morata ni offside kabsaa tena iliyo clear...lakn goal la....?okey, ni offside sasa basi tazama picha hapo juu za magoli ya Morata yote mawili yaliyokataliwa. Kisha tuweke double standard.
Defence haipo poa kabisa, pia Navas kiwango kimepungua. Ila tutaendelea hiv hiv tu, cha muhimu ni kupigana.Recently defence ya Madrid imekuwa mbovu sana
ngoja tuliweke.Mkuu huwa spend ubishan.... Tupia hilo goal uone... Hyo mpaka watangazaj wenyewe inarudiwa na Wan kubal kabsa n offside
Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
magoli ma 3 ya morata yamekataliwa offside, huku mawili yakiwa onside, au unakusudia marefa wanatukandamiza sisi real madrid?Mwaka huu huko Spain, ni lazima Real Madrid awe bingwa...maana marefa wanawabeba sana.
Maamuzi mengi sana yenye utata yanakua yanawapa advantage Real Madrid
Where is the ball.....it's only da picture and a line without showing us a position of the ball...We were shit, but we freakin deserved the points, how can you call these offside FFS!
![]()