Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

What's going on with Real Madrid? Our defence leaking goals again...
 
Morata helping back in defence, something you can't see from Benz.
 
Las Palmas are bossing the game. We need to get back in it as soon as possible.
 
Tuna tatizo kubwa sana kwnye kiungo,Kovacic kapotea kabisa, haonekani kwnye kuzuia mashambulizi ama kushambulia, sijui ana shida gani!!
Pia Dani anahitaji mtu wa kumsaidia kukaba sababu hawa wajamaa wamepania sana upande wake.
 
A bid disappointing first half. We had a good start to the game. Possession was the biggest concern for us in the first half.
 
Tuna tatizo kubwa sana kwnye kiungo,Kovacic kapotea kabisa, haonekani kwnye kuzuia mashambulizi ama kushambulia, sijui ana shida gani!!
Pia Dani anahitaji mtu wa kumsaidia kukaba sababu hawa wajamaa wamepania sana upande wake.

Possession ndio tatizo kubwa, kama hatuwezi kukaa na mpira ni lazima watatuletea madhara. Bad news ni kwamba wameshapata bao, we need to change our game.
 
We're playing like a mediocre team seriously, hope for a better half.
Mkuu Las palms n team iliyo na viungo watam sana...huwa naipenda sana hii team kwa na challenge ya kuuweka mpira chin...team yoyote huwa inakaa icpokua Makin...kwa hyo Madrid wawe wanaweza kaa... Unless watumie high ball with fast straiking force...lakn wakitegemea kuuweka mpira chin lazma Ile kwao.
 
It doesn't matter which team we play, we'll get dominated anyway. Sick of this.
 
Possession ndio tatizo kubwa, kama hatuwezi kukaa na mpira ni lazima watatuletea madhara. Bad news ni kwamba wameshapata bao, we need to change our game.
Ndio maana nikasema hapo juu kuwa ishu inaanzia kwa Kovacic, bado majukum yake uwanjan hajayatimiza, Dani huku pembeni anapata shida kweli, hana wa kumsaidia anapopanda, mpaka kila mmoja ajitambue hapo uwanjan ndio tutaweza kumiliki mpira.
 
Back
Top Bottom