Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #24,701
Asante sana mkuu Salamander kwa hisani yako. Ngoja sasa nicheck game kwa raha zangu.
Asante sana mkuu. Nilikuwa nateseka sana kwenda kuangalia mechi away from home...sasa nitakuwa natulia home.
Pamoja sana mkuu. Hii iko perfect ijapokuwa kuna wakati ina-stack kidogo.Enjoy mkuu, ikizingua niambie nikupe nyinge.
Vijana wetu wasipotuliza vichwa, Sevilla watatusumbua sana, tukipata goli moja tu, tutawakatisha tamaa. Kujituma ni muhimu sana kwnye hii game.Sevilla simply dominating the game. I hope we are going to perform well in the second half.
mkuu hata wajitume namna gani hawawezi kutupiga magoli 3....tumechomoa sasa!Vijana wetu wasipotuliza vichwa, Sevilla watatusumbua sana, tukipata goli moja tu, tutawakatisha tamaa. Kujituma ni muhimu sana kwnye hii game.
Hapo team itakuwa imebalance, na uwezekano wa kushika kiungo utakuwepo, Muhimu sasa ni kutumia kila nafasi tutakayopata vema.Watoto wamejaza sana viungo...Zizou naye amaeamua kuongeza kiungo na kumpunguza striker. Good technique.
Hope Carvajal atatukomboa Leo kama ile game ya super cup.Carvajal On and Lucas Vazquez Off