Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #24,741
A significant group of people just died a little inside.[HASHTAG]#sadlot[/HASHTAG]
Raha iliyoje tumeweka rekodi halla zizu halla benzgoal25s: Define Real Madrid in one sentence.
'The one who never gives up.'
GREATEST TEAM ON PLANET EARTH!!
ila hata mimi danilo namuonaga ni mchezaji wa kucheza arsenal sio madrid😀😀😀😀😀😀Danillo akiwepo lazima game iwe ngumu huyu mchezaji ha qualify kuchezea Madrid
Hiyo game haihesabiw,wanazohesabu ni official games tu za timu husika na siyo game za kirafiki.Wakuu niko hapa nasoma REKODI yetu kama inavyojieleza, lakini naona kuna BONANZA moja tulicheza na PSG tukapoteza au mechi za mabonanza huwa hazihesabiwi? Ufafanuzi plaease.....
View attachment 459358View attachment 459360






Pamoja sana mkuu. Tumevunja rekodi zote....na bado.Woyoo hala madridista! Nimeshtuka midnight hii toka usingizini nimekuja check matokeo hapa naona good good..
Real Madrid vs Celta Vigo for Copa QF.