Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #24,661
Real Madrid landed in Sevilla and will be staying at NH Central Convenciones Hotel until the time of the match.
Pamoja na kufanya rotation lakini anapaswa kuwa makini sana Zizou tusije haribu trend yetu.Isco, James, Ronaldo and Modric won't play tomorrow.
Sevilla away is not to be underestimated.
Kwa majira ya kwetu EAT ni saa ngapi
Yep game ya wikiend muhim sana leo Madrid iwe na mahesabu makali tu ya ku relax technically
We need that W against Sevilla in the league game. Very important one.
Kweli kabisa maana hawa wamekamia game ya kwenye ligi siku ya jumapiliYep game ya wikiend muhim sana leo Madrid iwe na mahesabu makali tu ya ku relax technically
Watataka watuumize kwa kutukatia pnt pale kwenye ligi ya leo wanajua tayari wapo out kwa vyovyote vileKweli kabisa maana hawa wamekamia game ya kwenye ligi siku ya jumapili
Kweli kabisa maana hawa wamekamia game ya kwenye ligi siku ya jumapili
Watataka watuumize kwa kutukatia pnt pale kwenye ligi ya leo wanajua tayari wapo out kwa vyovyote vile