Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #24,681
Just 15 minutes to go until kick-off vs Sevilla FC at the Sánchez Pizjuan! [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG] [HASHTAG]#RMCopa[/HASHTAG] [HASHTAG]#CopaDelRey[/HASHTAG]
mapema hivyo?10' Goal for Sevilla. Own goal by Danilo. AND ITS 1-0. [HASHTAG]#RMCopa[/HASHTAG]
samahani wakuu naomba kama kuna mwenye link ninayoweza kutazama live football kwenye PC yangu naomba anigaie.
Jamaa haonyeshi hata dalili ya kubadilika, sijui shida ni nin, au ameshakata tamaa tayar kuvaa uzi mweupe? Kila akipewa nafasi ni lazima asingue!! kazi kweli kweli.Itaniuma sana kufungwa hii game. Danilo amekuwa mzigo sasa Zizo afanye maamuzi mapema.
Asante sana mkuu Salamander kwa hisani yako. Ngoja sasa nicheck game kwa raha zangu.
Itaniuma sana kufungwa hii game. Danilo amekuwa mzigo sasa Zizo afanye maamuzi mapema.
Watch Live Sevilla vs Real Madridsamahani wakuu naomba kama kuna mwenye link ninayoweza kutazama live football kwenye PC yangu naomba anigaie.