Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

CARMONA HAS PULLED ONE BACK FOR SPORTING AFTER MODRIC'S DEFENSIVE ERROR!!

Real Madrid 2-1 Sporting
 
HALF TIME: @Real Madrid 2-1 Sporting (Cristiano 5' (p), 18'; Carmona 35'). [HASHTAG]#RMLiga[/HASHTAG] [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]

CyM0hz_WQAAfZLr.jpg:large
 
Mkuu kama uliota vile, nimetoka tu kidogo nimerud nimekuta mambo yamebadilika!!

Man sijui inakuwaje hapa, tunapoteza possession kizembe sana na jamaa wanapiga on target. Wamepata more corners that us.
 
Kama bado vijana wetu wana uchovu hiv, haswa Lucas Vasquez, Modric na Kovacic. Hope game ya Kombe la mfalme hawatocheza ili kuwa fresh dhidi ya barca,
 
Kama bado vijana wetu wana uchovu hiv, haswa Lucas Vasquez, Modric na Kovacic. Hope game ya Kombe la mfalme hawatocheza ili kuwa fresh dhidi ya barca,

James pia anacheza vizuri lakini mara nyingi anakuwa kama hii game ameikamia aonyeshe matokeo yao anapoteza mipira na Danilo anatakiwa awe makini maana hawa jamaa wameona huku ndio njia.
 
James pia anacheza vizuri lakini mara nyingi anakuwa kama hii game ameikamia aonyeshe matokeo yao anapoteza mipira na Danilo anatakiwa awe makini maana hawa jamaa wameona huku ndio njia.
Kweli kabisa Mkuu, hilo ndio tatizo la James, Danilo kwa kweli sijui ni nin!! jamaa ni kama homa ya vipindi, kuna mda atafanya vizur, akipewa nafasi nyingine anazingua, yaani ni shida kweli kweli !!
 
Vipi leo hawa jamaa jezi zao sioni mistari ya adidas, mkataba uliisha ni nini
 
Back
Top Bottom