Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Zidane's Real Madrid have scored 97 times in just 32 La Liga games, falling only three short of completing a special Century.

Top goal scorers: Cristiano (29) - Benzema (16) - Bale (15) [MARCA]

15181475_1384718001552956_2172830065648509936_n.jpg
 
Hii ya Marcelo mwenyew nimeipenda, angeanza Leo si ajabu angekeso El Clasisco., Alaf kumbe Fabio aliumia tena?


Coentrao bado hajakuwa 100% fit, sema Varane nae sijui vipi maana tangu wamerudi kutoka Portugal hajafanya mazoezi na squad!
 
REAL MADRID STARTING XI:

• Navas; Danilo, Pepe, Ramos, Nacho; Kovacic, Modric, James; Vazquez, Benzema, & Cristiano.

¡Hala Madrid!
 
Ramos Leo atakuwa na wakati mgumu kweli kweli, akipewa kadi ya njano Leo ina maana atakosa game inayofuata dhidi ya Barcelona!! So ni jambo kumua tu mwenyew kama anataka kucheza game inayofuata ama laa !!


Ingekuwa kocha mwingine Ramos angekaa bench leo, lakini Zizou hayuko hivyo anaangalia point kwanza.
 
Ingekuwa kocha mwingine Ramos angekaa bench leo, lakini Zizou hayuko hivyo anaangalia point kwanza.
Kweli kabisa, kwanza ile game ya Atletico agecheza, ila Zidane aliamua kuwaamini Nacho na Varane na wakafanya vizur!! maana yake hata El Clasisco Ramos asipokuwepo ni poa tu.
 
Lucas Vazquez got fouled inside the box after a rebound for blocked cross, Penal for Real Madrid
 
Back
Top Bottom