Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,703
- 6,363
Hatimae!! Ramos atakuwepo El Clasisco kama hatopata majereha hapa katikati!! Jamaa amevumilia kweli Leo!
Bado mkataba unaendelea Mkuu, jersey za Leo zimetengenezwa kutokana na mabaki ya baharini, ndio maana kidogo umeziona zipo tofautiVipi leo hawa jamaa jezi zao sioni mistari ya adidas, mkataba uliisha ni nini
Hahaha, mwenyew nilikuwa ninaomba uishe tu aisee, vijana wetu ninaona walikua wanacheza kwa tahadhari ili kukwepa majeraha, nilidhan kila mmoja anahamu ya kucheza El Clasisco.Huu mpira bora uishe tu.