Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #23,401
MARCA | Toni Kroos is making good progress, he has already started running and using the ball. He might be back for some CWC action. [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
Jamaa anaudhi ni bahati mbaya kuumia ila hii sasa ni too much.
Sijui hata ni nin kinawakumbaga hawa ndugu zetu, kama msimu huu Bale ameanza vizur sana, anyway, tuna vijana wa kuziba pengo lake japokuwa sio 100%.Huyu na mwenzake Benzema, kila wakicheza mechi 5 lazima wakae nje mieze mitatu.
Real Madrid line-up
1. Keylor Navas
3. Pepe
4. Ramos
6. Nacho
7. Cristiano Ronaldo
9. Benzema
10. James
16. Kovacic
17. Lucas Vázquez
19. Modric
23. Danilo.
Ramos Leo atakuwa na wakati mgumu kweli kweli, akipewa kadi ya njano Leo ina maana atakosa game inayofuata dhidi ya Barcelona!! So ni jambo kumua tu mwenyew kama anataka kucheza game inayofuata ama laa !!
Hii ya Marcelo mwenyew nimeipenda, angeanza Leo si ajabu angekeso El Clasisco., Alaf kumbe Fabio aliumia tena?Varane hayuko fit. Lakini safi sana kuona Marcelo anapumua na Danilo anapata playing time. James leo anatakiwa aonyeshe game yake.