Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

More confortable with 2 goals lead, but tbh has not been easy game for Real.
 
Keylor with a good clear for a shot from outside the box to a corner, Was played and cleared
 
FULL TIME: Real Madrid 3-0 CD Leganes (Gareth Bale 38', 45'+1', Alvaro Morata 76'). [HASHTAG]#RMLiga[/HASHTAG] [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]

CwlH2CGXcAE7pOF.jpg:large
 
Mkuu Rapherl, hakuna mtu mwenye chuki na CR7 haswa sisi mashabiki wa Real Madrid, wapinzan wetu ni case nyingine!! Cr7 kama mchezaji na mwingine yeyote inapopashwa kupewa sifa atapewa, na pia kama kuna sehemu ya kukoselewa itafanyika pia, wew umekuwa humu ndani kwa muda sasa, hua unaona. Mchezaji kukoselewa ndani ya Real Madrid ni jambo la kawaida sana, so usichukulie kama chuki, hicho ndio kinatofautisha mashabiki wa Real Madrid na mashabiki wa team nyingine!!
Huyo Salamander hampendi Ronaldo sio juzi wala jana ni kitambo tu hata chuki zake hazijulikani zinatoka wapi

Ila sishangai mtu yeyote mwenye mafanikio katika maisha huwa anachukiwa(na watu wenye roho ya korosho)
 
Real Madrid 3-0 Leganes

- Goals: Bale x2, Morata
- Assits: Isco, Morata, Kroos
 
Huyo Salamander hampendi Ronaldo sio juzi wala jana ni kitambo tu hata chuki zake hazijulikani zinatoka wapi

Ila sishangai mtu yeyote mwenye mafanikio katika maisha huwa anachukiwa(na watu wenye roho ya korosho)

Okay, now you take it to that level, nina roho ya korosho namchukia Ronaldo kwa mafanikio yake, seriously? That's nonsense, If you would like to talk football KARIBU, hayo mambo mengine yako. I know you're a fanboy, but tbh today also Ronaldo had another off game. He's 31 and many players lose their form in this age especially if you are a winger or a striker... still he's playing and wants to give his 100%. I hope he finds his form back ASAP. [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
 
Nacho was great today, recovered the ball 9 times with 99% pass accuracy!
 
Okay, now you take it to that level, nina roho ya korosho namchukia Ronaldo kwa mafanikio yake, seriously? That's nonsense, If you would like to talk football KARIBU, hayo mambo mengine yako. I know you're a fanboy, but tbh today also Ronaldo had another off game. He's 31 and many players lose their form in this age especially if you are a winger or a striker... still he's playing and wants to give his 100%. I hope he finds his form back ASAP. [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
Not only a fanboy but also Cristiano and Madrid die hard fan.... Nimekwambia kinachokuhusu so if u take it personal ni tatizo lako mi halinihusu

Wachezaji wote wanakosolewa ila wewe unachuki huo ndio ukweli, mimi naelewa tofauti ya kukosoa na chuki.....

Wewe Unachuki.
 
You don't talk football bro, just blabbing. And sorry, I don't take your cheap argument personal because there is lack of understanding among Real Madrid supporters and fanboys, so it's okay for me. But my opinions are my own, sorry if they're offending you!
 
Back
Top Bottom