Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
Una chuki na Ronaldo sioni jipya hapoTBH, the goal came from Ronaldo. Received a pass like he's alone on the pitch, and lost the ball easly without any challenge and asking for a foul while it wasn't. Bila kucheza kama timu kila siku game lazima ziwe ngumu. Muangalie Morata anavyoangaika. Hawa wakuitwa BBC wanawaumiza wenzao, how come watu 3 wote hawakabi hata kidogo, hii itakuwa timu gani?
Una chuki na Ronaldo sioni jipya hapo
Kama kawa adui mwombee njaa, mwenyew niilichungulia baada ya kuona Sociedad wanongoza goli moja!! Kama na wanaofuata kesho wakigawana tena point itakuwa jambo jema sana kwetu!!Full Time Real Sociedad 2 - Atletico Madrid 0
Mkuu Rapherl, hakuna mtu mwenye chuki na CR7 haswa sisi mashabiki wa Real Madrid, wapinzan wetu ni case nyingine!! Cr7 kama mchezaji na mwingine yeyote inapopashwa kupewa sifa atapewa, na pia kama kuna sehemu ya kukoselewa itafanyika pia, wew umekuwa humu ndani kwa muda sasa, hua unaona. Mchezaji kukoselewa ndani ya Real Madrid ni jambo la kawaida sana, so usichukulie kama chuki, hicho ndio kinatofautisha mashabiki wa Real Madrid na mashabiki wa team nyingine!!Una chuki na Ronaldo sioni jipya hapo