PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 13,318
- 22,249
Kama kawa adui mwombee njaa, mwenyew niilichungulia baada ya kuona Sociedad wanongoza goli moja!! Kama na wanaofuata kesho wakigawana tena point itakuwa jambo jema sana kwetu!!
Mkuu hata Atleti wakati gamel inaanza nilikuwa nawaombea japo suluhu lakini matokeo yamenipa raha zaidi. Wale jamaa kesho kazi wanayo, tena itakuwa baada ya sisi kumpiga mtu mchanamchana. Kesho natabiri clean sheet hapo uwanja wa nyumbani.